Ticker

6/recent/ticker-posts

Nandy - Siwezi mp4 video download

 


 Nandy - Siwezi mp4 video download

Siwezi Lyrics VERSE 1 Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani Kumbe kuachwa inaumaga ivii Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka Kumbe kuachwa ina umaga iviii we hayaaa Umeniumbua bora niseme Kiapo nilicho kula bora nikiteme Mapenz shikamoo sirudii tenaa Umepatwa na nn si useme Kinachokufanya we uniteme Mapenz shikamooo sirudiii tenaa we hayaa Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa CHORUS
bila weee me siwez (sauti inarudia) Siwez siweziii ( nakumbuka uliniambia)

VERSE2 Unanifanya me nalewa sana Haipiti siku bila kugombana Mapenz yako ya kibabe sana Malumbano ya mapenz siyawezi Kuna sielewi mana, iv kwanini kwako na ng,ang,ana Mapenz gani haya kutesana Wasiwasi wa mapenz Ivi kwann we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oooh mapenziiii Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwaaa CHORUS


Post a Comment

0 Comments