Ticker

6/recent/ticker-posts

Download mp3 Wewe ni BWANA (Live)-Emmanuel Mwinuka ft. Gwamaka Mwakalinga & Sarah John


New song by Wewe ni BWANA (Live)-Emmanuel Mwinuka ft. Gwamaka Mwakalinga & Sarah JohnMwaka 2016, Mwenyezi Mugu alijihidhirisha kwangu na kunitumia katika viwango vilivyo nishangaza sana. Mwaka 2019 nikiwa nikitembea huku nikimtafakari Mungu na Ukuu wake kwangu pamoja na udhihirisho wake ndipo kwa uweza wake aliachilia wimbo huu ndani ya nafsi yangu na roho yangu ikaanza kumsifu na kumuabudu yeye ya kwamba "Yeye ni Bwana, ni Bwana, ni Bwana Yesu". Karibu Tumsifu na Kumuabudu Mungu Pamoja. ----------------------------------------------------------------------------------------------------- John/Yohana 4:23-24 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamuabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. ----------------------------------------------------------------------------------------- Song Written by: @Emmanuelmwinuka Arranged/Organized: @Gwamakamwakalinga Video Edited: @Danielitus Audio: K_Music_Intl @am_Keifer Venue: @eowhub from @essenceofworship Vocals: @neemapeterstuarty, @sarajohnmenas, @genius_amos Guitar: @andrewmichaelkan Bass: @smoshally Drums: @deedrummer_ Saxophone: @donicksax Inspired by..@mtabilaCelebration #WeweniBWANA #WeweniBWANA #WeweniBWANA #EmmanuelMwinuka #WaabuduoHalisi #God'sGeneral
Download all latest music songs

Post a Comment

0 Comments