Ticker

6/recent/ticker-posts

Download mp3 Alice Kimanzi - Nikuabudu |Official CRM Video|


New song by Alice Kimanzi - Nikuabudu |Official CRM Video|This song is from Psalm 42: "As the deer pants for streams of water, so my soul pants for you, my God. My soul thirsts for God, for the living God" Nikuabudu Lyrics: Vs 1: Moyo wangu wakutamani ewe Baba Mwili wangu wa kulilia Kama vile ayala atamanivyo maji akiona kiu (x2) Chorus: Nikuabudu Bwana, Nikuabudu Ndio tamaa yangu milele Bwana Nikuabudu Nikuabudu Bwana, Nikuabudu Ndio tamaa yangu milele Yesu Nikuabudu… Vs 2: Ninapo fadhaika nitakimbia hekaluni mwako Na nitaimimina nafsi yangu mbele zako Bwana Kwani upendo wako ni wimbo wa kunituliza Jina lako tegemeo tena ngome iliyo imara… Vs 3: Hapa chini ya mbawa zako sala ni moja Kwamba kwa macho haya yangu Niuone utukufu wako Tenda miujiza, tenda maajabu Kwani fadhili zako ni bora kuliko uhai Bridge: Amen amen amen…
Download all latest music songs

Post a Comment

0 Comments