Download mp3 Laika - Nimekusahau Official Video
New song by Laika - Nimekusahau Official Video#Laika #Ngomma Ulinitumia ukaniacha ukasepa ukanidharau Ukaniona bamia Penzi ukalegeza ukanisahau Nikakesha nangojea labda utabadilika umejisahau Kumbe gizani napotea kwako najibebisha unaniona nyang'au Ulifata wapaka poda wa vitop na sketi za kukata Club usiku unakesha huchagui sindimba chakacha Penzi ukaniachia mzoga nikalivumilia likinuka Sasa nakula nashiba natakata nimekusahau we niache Chorus WHAT IS LOVE? × 2 (Sikutaki tena) Baby don't hurt me, no more... *2 VERSE 2 Sasa Mambo ng'aring'ari Pambe Samaki jodari Embe Nala kachumbari sembe sikumiss dona Nala vya sukari tende Chips na mayai zege Changanya kidari ndembe Sasa nina nona Nakupa hashuo kidume wewe usinifate Nishazivua nguo kuwa nawewe tamaa ukate Ulifata wapaka poda wavitop na sketi Za kukata Club usiku unakesha huchagui sindimba chakacha Penzi ukaniachia mzoga nikalivumilia likinuka Sasa nakula nashiba natakata nimekusahau we niache Chorus WHAT IS LOVE? × 2 (Sikutaki tena) Baby don't hurt me, no more... *2 Hapa Hauna chako tena timua timua Penzi ulitibua tibua Benchi sugua sugua nishatupa kulee Hapa Hauna chako tena timua timua Penzi ulitibua tibua Benchi sugua sugua sikutaki tena ©2019 Administered by Ngomma VAS Limited.
Download all latest gengetone music songs
0 Comments